Retrieve Software

BBJ

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
1,183
1,195
Wadau, kuna mdau aliweka thread kwamba, ana software yenye uwezo ku retrieve sms and etc ktk simu nyingine either mumeo,mke wako etc, naomba contacts zake
 
Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,187
1,500

mie mwenyewe nimeweka kwenye simu ya nyumba ndogo. kisha inajipoteza hivyo haionekani tena hadi uiite wewe. bila ya mwenyewe kujua inarekodi maongezi yote na inanitumia kwenye email yangu. meengi nimeyajua kwa mfano
kwa siri kabisa anapiga namba ya mtu wake, wanalonga, kisha anaifuta papo hapo. kwa huyo hatumi hata sms. ni call only. mjanja kiasi chake ila....... akija nyumbani anaonesha mapenzi motomoto.
sasa ule mpango wa kumjengea nyumba umekufaaaa......

ila unatakiwa uwe na subira au utapata ugonjwa wa moyo kaka
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000

Hii kitu nimeipenda ila nauliza kwa manufaa ya wengine
je,assume yfu kaongea na jamaa wake 1-2hrs hivo audio iliyo-recodiwa ina 100MB na yfu huwa haungi bundle zaidi ya zile za cheka bobastik au Mini kabang ambzao wanakupa 60MB
Sasa swali langu ni hiyo Bundle itaweza upload hiyo audio conversation kuituma kwenye email yangu au inatumwa kwenye server za kampuni husika afu wananitumia mm?
Je,ku-record hizo sms/calls lazima awe Online ndo hiyo app itarecord?
Au itarecord na aki-access data basi audio/sms itatumwa kwenye sehemu husika?

Nifungue macho kibishi hapo mkuu
 
1. hii software hurekodi phone calls kwa format ya 3gpp. maongezi ya 20minuts maximum ni 600kb.... hayafiki hata 1mb. tena inakuwa clear conversation.
2. hii software hurekodi file na kulificha kwenye system(hidden file). mara tu muhanga wako anapowasha tu internet ndio unatumiwa file kwenye email ulizoziweka/uliyoiweka. file likitumwa tu linafutwa kutoka kwenye simu yake ikiwa umeweka option ya kufanywa hivyo. au alifute baada ya muda. au asilifute zote unachagua wewe mtumiaji.
utatumiwa file katika format kama hii 255654540642_12-15-2013_07-55_AM ingekuwa sio aibu ningeli upload hapa ukalisikia quality yake
 
Mkuu Paje thanx kwa maelekezo mazuri, Swali je;Tutaipataje hiyo software? Naomba msaada Mkuu Paje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom