Retail shop

Retail shop

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
habari wa JF kwa mwenye tips za kutosha tafadhali.kufungua duka la bidhaa zitumikazo majumbani na binadam kila cku laweza nigarim kias gani kwa kuanzia.na linatoa faida kiasi gani kw cku nikiweka na huduma ya M PESA na nynginezo?naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom