Kwa yeyote anyetaka hii software ani pm maana nimejaribu kui upload hapa ina goma ni nzuri kwa CV na interviews technique. youtube au google uone sample.Ni zip file unaitajikuwa na ISO burning tool kama powerISO au nero ambazo unaweza kupata trial version.