Habari za siku wana Jamii.
Natafuta restaurant ya kukodi. Pia mwenye taarifa na kuwepo kwa tenda ya kuendesha canteen ya chuo, ama taasisi yoyote anijuze.
Thanks mkuu, nimefika hapo na tayari nipo kwenye maongezi na mmiliki japo kodi ipo juu sana. Anahitaji $ 3000 per month, but tutafika katika mwafaka. Na kama kuna mahali pengine please nijuze. Unauza vifaa gani mkuu?