Rest In Peace Yallunder

Rest In Peace Yallunder

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Ukiachana na msiba wa Zahara basi huu ni msiba mwingine ambao unazidi kutuumiza na kutupunguzia vipaji ndani ya Afrika.
1742060656149.jpg

Yolanda Nyembezi amefariki akiwa na umri mdogo kweli tena akiwa kwenye peak yake ya safari ya muziki.

Yallunder tutakukumbuka kwa sauti tamu kwenye nyimbo zako, iThuba, Xola, Emaphupheni Am, Isifiso, pamoja na Uyang'Jikela.
images - 2025-03-15T204515.644.jpeg

Tulipenda sana tuendele kukusikiliza ukitoka nyimbo mpya ila kifo kimekubeba mpendwa! Pumzika African princess 😔
 
Q
Ukiachana na msiba wa Zahara basi huu ni msiba mwingine ambao unazidi kutuumiza na kutupunguzia vipaji ndani ya Afrika.
View attachment 3271775
Yolanda Nyembezi amefariki akiwa na umri mdogo kweli tena akiwa kwenye peak yake ya safari ya muziki.

Yallunder tutakukumbuka kwa sauti tamu kwenye nyimbo zako, iThuba, Xola, Emaphupheni Am, Isifiso, pamoja na Uyang'Jikela.
View attachment 3271774
Tulipenda sana tuendele kukusikiliza ukitoka nyimbo mpya ila kifo kimekubeba mpendwa! Pumzika African princess 😔
Amekufa na nini?!
 
So young 😔 Pokea maua yako 🌼 🌸 🌻 🌹 🏵
1742064089579.jpg
 
Back
Top Bottom