Hapo kwa Biden dizain jamaa kupigana gun ni kugusa tu,utasikia kule zimelia kafa mtu kule mtu yupo ICU toka mwezi wa saba (yupo dogo mmoja walimzibua za kichwa last time kusoma alikuwa ICU hajazinduka).
Huwa wanakoseana nini?umaarufu pesa au mapenzi?