Angalia Baba wa mbinguni alikupa zawadi ya baba na sasa ameamua kuchukua alichokupa! Hakika ni wakati mgumu kwako wewe na familia nzima! Mungu awape nguvu ya kuvumilia msiba huu mzito.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE. APUMZIKE KWA AMANI -AMINA