Ni matumaini yangu kule aliko ndugu yetu Chacha Wangwe anapumzika kwa amani huku akiangalia jinsi Sheria ya Karma inayosema ''Whatsoever a man soweth, that shall he also reap''. inavyowatafuna viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sasa kama ilivyofanyika pia hivi karibuni kwa Zitto, Dr. Kitila, Samson Mwigamba na wengine wengi.
Kila tunapokutana na jina lako, hutufanya vile vile kuzilejea kumbukumbu za andiko lako linalosema ''JARIDA LA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME'' ambalo linapatikana hapa,
Chacha Wangwe aibuka toka kuzimu | Tarishi Hauwawi
Katika Jarida hili, kuna kipande cha paragraph ambacho tulikichunguza na kugundua ndiyo kitovu cha mwanzo wa sheria ya Karma kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA ambapo umesema,
WAPENDA HAKI NA USAWA TUTAZIDI KUKUKUMBUKA DAIMA!
Mbowe na Slaa! Kwa hiyo serikali inawaogopa hawa jamaa hata wakiua hawakamatwi! Mhh! Tuache kufike huko siasa za namna hii hazijengi bali hata wewe nafsi yako kuna wakati inalipuka na kukusuta.
R.I.P Kamanda chacha wangwe
Mkuu unauliza makofi polisi,waliofnya unyama ni viongoz wa chadema akiwemo mbowe na mwenzake slaa na baadhi ya viongoz wengine,ila naona damu ya zakayo chacha inawatafuna na ndio hyo mpaka leo inawakosesha amani kwenye chama chao cha kikabila
KUMBUKUMBU YA HAYATI
CHACHA WANGWE
Ni miaka sita(6) sasa tangu alipotutoka
aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime,Diwani
wa kata ya Tarime Mjini, Waziri kivuli wa
Maji, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara
na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,
Baba yetu mpendwa Hayati Chacha Zakayo
Wangwe kwa kifo kilichogubikwa na
sintofahamu mpaka leo,kilichotokea mnamo
tarehe 28/07/2014 maeneo ya
Pandambili,wilayani Kongwa.
Kwa niaba ya Familia ya Wangwe, wananchi
wa Tarime na wanachama wa Chadema
napenda kusema kuwa tanakumbuka sana
uwepo wako Comrade Wangwe,na
tutakukumbuka na kukuenzi daima..Mbele
yako,nyuma yako..REST IN PEACE TATA.
M B O R A K E (KUTAKUCHA)
Kwani kifo chake kilitokana na nini
Chacha Wangwe alikuwa mpinzani wa kweli. Sio hawa wengine wapenda pesa na ngono.
Uliza kamati kuu ya Chadema watakupa majibu.Kwani kifo chake kilitokana na nini
Chacha Wangwe alikuwa mpinzani wa kweli. Sio hawa wengine wapenda pesa na ngono.
Uliza kamati kuu ya Chadema watakupa majibu.
Kuna maswala mengine hayahitaji mihemko hebu rudia tena kusoma ulichoandika hapa halafu upime kama upo sahihi.KUMBUKUMBU YA HAYATI CHACHA WANGWE
Ni miaka sita(6) sasa tangu alipotutoka aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime,Diwani wa kata ya Tarime Mjini, Waziri kivuli wa Maji, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Baba yetu mpendwa Hayati Chacha Zakayo Wangwe kwa kifo kilichogubikwa na sintofahamu mpaka leo,kilichotokea mnamo tarehe 28/07/2014 maeneo ya Pandambili,wilayani Kongwa.
Kwa niaba ya Familia ya Wangwe, wananchi wa Tarime na wanachama wa CHADEMA napenda kusema kuwa tanakumbuka sana uwepo wako Comrade Wangwe,na tutakukumbuka na kukuenzi daima..Mbele yako,nyuma yako.
REST IN PEACE TATA.
M B O R A K E (KUTAKUCHA)
Vipi, inakuwaje watu wauwe mtu halafu waendelee kudunda mtaani bila hata kupelekwa polisi na mahakamani?Mkuu unauliza makofi polisi,waliofnya unyama ni viongoz wa chadema akiwemo mbowe na mwenzake slaa na baadhi ya viongoz wengine,ila naona damu ya zakayo chacha inawatafuna na ndio hyo mpaka leo inawakosesha amani kwenye chama chao cha kikabila
Uko sahihi mkuu. Eti leo hii hata Zitto ni kipenzi chao ila hawataki kumkaribisha. Dr Kitila naye sasa hivi ni mtoto wa kuonewa huruma sana ila wakati hajatangazwa kuwa msaliti hata vyeo walimvua UDSM kwa chuki yao kwake. Mwigamba naye alikuwa mwiba kwao hasa kwa zile makala zake hadi wakamfungulia kesi ya uchochezi lakini baada ya chama chake kutangaza kuwa kahusika na usaliti kageuka kipenzi chao.Nilicho Jifunza Kwenu Mtu Yoyote Ndani Ya CHADEMA Anayekwenda Kinyume Nyie CCM Ndio Mnampenda Na Kujidai Kumuonea HURUMA. Mpinzani Yeyote Anayeonewa Huruma Na CCM Huyo Si Mpinzani.
NO CURRUPTION NO CCM
Ni matumaini yangu kule aliko ndugu yetu Chacha Wangwe anapumzika kwa amani huku akiangalia jinsi Sheria ya Karma inayosema ''Whatsoever a man soweth, that shall he also reap''. inavyowatafuna viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sasa kama ilivyofanyika pia hivi karibuni kwa Zitto, Dr. Kitila, Samson Mwigamba na wengine wengi.
Kila tunapokutana na jina lako, hutufanya vile vile kuzilejea kumbukumbu za andiko lako linalosema ''JARIDA LA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME'' ambalo linapatikana hapa,
Chacha Wangwe aibuka toka kuzimu | Tarishi Hauwawi
Katika Jarida hili, kuna kipande cha paragraph ambacho tulikichunguza na kugundua ndiyo kitovu cha mwanzo wa sheria ya Karma kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA ambapo umesema,
WAPENDA HAKI NA USAWA TUTAZIDI KUKUKUMBUKA DAIMA!
Kuandika hivi ni kwamba kuhalalisha tukio kwamba CCM walimuondoa Imran Kombe na Nyie Mkamuondoa Chacha Wangwe au kusudio lako ni lipi.Mungu amrehemu Meja Jenerali İmran Kombe.
ACT sio huyu ila ni DottoTena ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT