Pole sana bwana FungoAlikua lecturer wa hesabu IFM, pia aliwahi kuwa head deparment ya hesabu hapo
Dah.... RIP mwanahisabatiAlikua lecturer wa hesabu IFM, pia aliwahi kuwa head deparment ya hesabu hapo
Labda msiba umemchanganya. Nilivyoona heading nikakujua huyo marehemu atakuwa member humu.It is very unlikely mtu kuleta habari hii kwa watu wenye id feki hii inaonyesha hauna wa kushare naye nyakati zako.
Tafadhali kua karibu na familia yako, ndugu jamaa na marafiki inaweza ikakusaidia.
Pole kwa msiba.