Akili nzuri lazima ibebe uwajibikaji. Sasa ukiona akili nzuri halafu uwajibikaji mbovu Bado hiyo sio akili nzur.
Uzuri wa iq kubwa hauishii kujibu hoja ana maswali bali huenda mbali ktk kuona nini kipo mbele, kitakabiliwaje na changamoto ni zipi, ma njia Gani zitumike kuksbiliana na changamoto hizo.
Sasa wengi wa sisi waafrika IQ tunaibeba kama ngazi ya kupandia madarasa ya kielimu afu baada ya hapo huitumii ktk kukabiliana na maisha ya Kila siku.
Wapo wenye IQ kubwa na wanataka kuitumia ktk uwajibikaji lkn wakatizama maisha yanavyoenda nschangamoto za siasa wakakubali kuwa stagnant wasipige tena hatua.
Wapo walioons kuwa hakuna haja yakurudishwa nyuma ama kukatishwa tamaa wakaamua kuwajibika ipasavyo na leo hii ndio washindi