Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Mnakuaga na makusudi nyie!
Duuh respect ot all mothers lakini nyuma ya mama lazima tumpe hongera responsible father/husband maana bila wao sisi hatuna wa kumdekea tukiwa wajawazitoKudos to all mothers and supportive fathers who had to deal with all these. [emoji3]View attachment 1010262View attachment 1010263View attachment 1010264View attachment 1010265View attachment 1010266View attachment 1010267View attachment 1010268View attachment 1010269View attachment 1010270View attachment 1010271View attachment 1010272View attachment 1010273View attachment 1010274View attachment 1010275View attachment 1010276
Hahaha sio sisi ni watoto wenuMnakuaga na makusudi nyie!
- KANA -
Sure responsible fathers wanawapa faraja sana wamama wakiwa wajawazito. Salute kwaoDuuh respect ot all mothers lakini nyuma ya mama lazima tumpe hongera responsible father/husband maana bila wao sisi hatuna wa kumdekea tukiwa wajawazito
Sent using Jamii Forums mobile app
AppreciateHongereni wamama wote, hongereni responsible and caring father, hakuna wakati ambao huwa tunawahitaji kama huu, kubeba ujauzito miezi tisa si jambo jepesi, baba jitahidi kukaa karibu na mama kwa kila hali.
Napenda kuwa mama asante Mungu kwa kunikumbuka katika wengi wanaokuomba watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba ilikua ndogo kuna mtu aligundua aaniambia F una mimba, Nililiaaa acha tu. acheni kubeba mtu miezi tisa MUNGU ndie anaejua.Hahahaaa
Hakuna part mbaya kama kulia
Unaweza ukaulizwa jina tu
Machozi yanashuka kama mvua...
Kudos to all responsible father's
Haha hamna namna vumilieni tuSa ingine mnajifanyisha aisee nimewahi kupata mateso. Sitasahau!
Hongera mama K Mungu akutangulie na aendelee kukusimamia unapoenda kumaliza safari yako ya miezi tisa
Itakua amaizing moment a[emoji38][emoji38]
Tayari nshautoa mzigo wangu salamaHongera mama K Mungu akutangulie na aendelee kukusimamia unapoenda kumaliza safari yako ya miezi tisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow hongera sanaTayari nshautoa mzigo wangu salama