jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
CNN live wanaonyesha kikao cha UN Security Council cha kuilaani Syria kinaendela na inasemekana kuna veto, sina uhakika ni nani amesimamisha hiyo shilingi, so far wenye uwezo huo ni US, Russia,China et al
Sijajua ni taifa gani lime veto, bado nafuatilia kikao hiki, na nikipata taarifa kamili nitawajulisha...
Sijajua ni taifa gani lime veto, bado nafuatilia kikao hiki, na nikipata taarifa kamili nitawajulisha...