Naombeni ushauri, kuna jinsi ya ku-resize HDD partions? HDD ya computer yangu ina patition C:20GB na D:60GB, nataka ni-resize na kuwa 50GB kwa 50GB. Natanguliza asante.
sasa jumla ya C na D ni 70Gb inakuwaje unataka kupata 50Gb kila moja ambapo itakuwa 100Gb. Anyway download partition magic au acronis unaweza fanya resizing hata kama hdd ipo na os + data