Msaada wadau,kwa mtu aliyekuwa anafanya kazi kampuni fulani lakini akaamua ku "Resign" kwa notice ya mwezi mmoja ( kufanya kazi bila malipo ndani yahuo mwezi) sababu kuu ya kuacha kazi nikuwa nafasi aliyoajiriwa nayo ni ndogo kuliko elimu yake, sasa ikatokea kampuni hiyo baada ya mwaka wakatangaza nafasi anayofit akaomba na akaitwa interview, atajibuje swali hili kwa majibu ya kitaalamu
1 . Kwanini uliacha kazi ? ( kumbuka kwenye barua alisema family problems)