Dear Boss:
I'm resigning effective immediately!
The reason for my resignation is that I cleaned my aunt's garage this morning before coming to work and realized I don't feel like working anymore.
nitakachokifanya...kuwaona na kuwasaidia waliopo katika shida zao mbalimbali....kuukuza ufalme wa MUNGU (evangelism).....kuanzisha "clubs & groceries" za watu wa MUNGU, na mengineyo mengi
Aaaaah!!!!Niwe tu mkweli mi nitaweka godoro yangu hapo juu ya hiyo mambo wenyewe wanaiita uncountable money na nitakata hapo roho poooole pooole ....najua lazima nitakufa kwa shinikizo la damu tu.Hela kama hii usimuonyesha mtu ghafla anaweza kufa ati.