Research writer

Research writer

Nelson Kapaya

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
99
Reaction score
15
Kwa yeyote anayehitaji usaidizi katika uandishi wa research proposal na research report wasiliana nami 0753101293
 
Huyo utakayemuandikia akihitimu huko Chuo Kikuu nae atajiita Academician au Intellectual?
Kwan anayeandikiwa research lazima awe anasoma!!? mbona wapo maprof. kibao ufanya utafit wao then utafta wadaidiz kama huyo
 
Kwa yeyote anayehitaji usaidizi katika uandishi wa research proposal na research report wasiliana nami 0753101293
Navyojua kwenye research kuna kuandika Methodology /data collection/ Analysis and the best interpretation of the results.. Ili kuyafanya yote haya yakupasa uwe na knowlege ya kutosha kuhusiana na mada husika. Mfano mtu wa mwenye BaEd ni vigumu sana kumwandikia mtu wa Engineering research.. Sasa mtoa mada unaandika type ipi ya reasearch ..
 
Umeuliza swali la msingi sana ambalo huwa najiuliza kila nikiona matangazo ya hawa jamaa.
 
Kwan anayeandikiwa research lazima awe anasoma!!? mbona wapo maprof. kibao ufanya utafit wao then utafta wadaidiz kama huyo

Huwezi ukawa Mtu unayeandikiwa Research yako halafu ujiite Msomi. Acha kutetea ' Upuuzi ' tafadhali unless na Wewe ni mmoja wa hao hao ' Wapuuzi '. Nimemaliza.
 
Ndio maana PhD fake zimejaa mitaani hadi wakubwa wa nchi wanamiliki PhD fake
 
Huwezi ukawa Mtu unayeandikiwa Research yako halafu ujiite Msomi. Acha kutetea ' Upuuzi ' tafadhali unless na Wewe ni mmoja wa hao hao ' Wapuuzi '. Nimemaliza.
Hujaelewa au unajilazimisha kutoelewa, Auditor/tax consultant ili afanye kaz yake lazima awe na wasaidiz, yeye uonekana dk za mwisho kwenye signature na mhuri wake tuu, sijui huo mfano umekusaidia.
 
Tunatoa huduma zifuatazo.
1. Preparation of concept note for academic
researches.
2. Preparation of academic research proposals.
3. Preparation of research findings and report
writing.
· Data coding.
· Data entry.
· Data analysis.
· Report writing.
4. Coaching a researcher with knowledge,
techniques and skills to defend and present his/
her research work.
5. Clearing plagiarism.
OPTAE COMPANY LIMITED
P.O.BOX 6075
KIWANJA CHA NDEGE/PLOT NO.215
MOROGORO-TANZANIA.
MOBILE: 0766729127/0713935652
 
Umeuliza swali la msingi sana ambalo huwa najiuliza kila nikiona matangazo ya hawa jamaa.
Yaani hichi kitu ni kigumu sana ku-implement kktu cha namna hiyo, maana other study ina bidii uwe na foundation .. Sasa mtu anasoma vitu miaka minne. We hujawahi kusoma kabisa, wala kujua kama vitu hivyo vinaexist leo uandike research ya kitu kwa kugoogle definition .. If cant be
 
Back
Top Bottom