donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Habar zenu wakuu,naomba msaada kama kuna nafas za tempo zinapatkana kuanzia saa kumi na mbili jioni (after my class hourz). Ni mwanafunz wa degree ya banking & Finance katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Thankx r in advance!