Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
[emoji849][emoji849] Amefoji!? [emoji2956][emoji2956]Tinubu yule ni 80+
Duh!Paul Biya anaweza ondoka zake pale Cameroon akaishi Switzerland kwenye hotel ya kimataifa, crew yake wakapanga floor nzima wakakaa wiki kadhaa. Sasa jichanganye huko nyumbani utake atoke, sio yeye atakayejua hata kama upo ila kuna machawa waliopitiliza ambao wanatumia advantage ya uzee wake kufanya wanavyotaka. Yeye alishamalizana na upinzani amebaki na vilaza ngazi za juu ambayo ukiachana na kusifia na kujipendekeza hawana la ziada.
Tinubu kwenye kampeni kuna muda alisogezewa microphone akaambiwa test the mic yeye akaelewa ni taste the mic, akailamba. Sasa akili kama hizo ziongoze nchi utegemee nini.
Ramaphosa pale South Africa anaishiishi tu utadhani alilazimishwa kuwa Rais. Emmerson kwa Zimbabwe amekosa maajabu, na huwezi tegemea matokeo tofauti kutoka kwa inner circle ya Mugabe. Kilichompa Urais si uwezo bali kuwahi kufanya kazi chini ya Mugabe, hakukuwepo option nyingine ukizingatia upinzani unakandamizwa mno.
Akailamba mic maanina zake . Si aachie vijana tuu , hawa ndio wale maraisi wanajinyea na kujikojolea wanavaa pampers .Paul Biya anaweza ondoka zake pale Cameroon akaishi Switzerland kwenye hotel ya kimataifa, crew yake wakapanga floor nzima wakakaa wiki kadhaa. Sasa jichanganye huko nyumbani utake atoke, sio yeye atakayejua hata kama upo ila kuna machawa waliopitiliza ambao wanatumia advantage ya uzee wake kufanya wanavyotaka. Yeye alishamalizana na upinzani amebaki na vilaza ngazi za juu ambayo ukiachana na kusifia na kujipendekeza hawana la ziada.
Tinubu kwenye kampeni kuna muda alisogezewa microphone akaambiwa test the mic yeye akaelewa ni taste the mic, akailamba. Sasa akili kama hizo ziongoze nchi utegemee nini.
Ramaphosa pale South Africa anaishiishi tu utadhani alilazimishwa kuwa Rais. Emmerson kwa Zimbabwe amekosa maajabu, na huwezi tegemea matokeo tofauti kutoka kwa inner circle ya Mugabe. Kilichompa Urais si uwezo bali kuwahi kufanya kazi chini ya Mugabe, hakukuwepo option nyingine ukizingatia upinzani unakandamizwa mno.
Kati ya hao yupi ana kashfa ya kulibwanda hadharanThe 70s plus must go:-
1. Paul Biya 90
2. Yoweri Museveni 78
3. Bola Tinubu 70
4. Cyril Ramaphosa 70
5. Emmerson Mnangagwa 80
6. Denis Sassou Nguesso 79
7. Hage Geingob 81
8. Salva Kiir Mayardit 71
9. Ismail Omar Guelle 75
10. Isaias Afwerki 77
11. Sahle-Work Zewde 73
12. Tom Thabane 83
13. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo 80
14. Abdelmadjid Tebboune 78
15. Brahim Ghali 73
The presidential age revolution in Africa starts now than anon [emoji91][emoji91][emoji91]
The revolution must not stop until the final 70 is deposed.
Filosofia ya Rorya.
View attachment 2555023