Report ya EU kutolewa Alhamisi kuhusu uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa 25 october 2015.

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
xuttynyfcf5zwtk562fe7176465a.jpg


Mwangalizi Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU – EOM) kwa Tanzania, Judith Sargentini amesema atawasilisha ripoti kamili na mapendekezo ya umoja huo, kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana Alhamisi ijayo.
 
Back
Top Bottom