Report ya CAG isiwe Useless tu kwa kuishia Bungeni

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
743
Reaction score
44
Kuelekea kusomwa Report ya CAG, mimi ninamtazamo tofauti, inawezekana watu wanaisubiria sana wakifikiria mbali zaidi kwamba hao Vibaka walio chota pesa za ESCRO watazirudisha. Mimi pia nategemea watafikishwa sheriani ili wapate hukumu stahiki na walicho kikwapua.

Labda mimi niseme kitu hapa, kama Zitto Kabwe, Kwafulila, CAG, na kamati nzima wamefanya kazi kubwa sana na mzito. Sasa kama mpango huu utaishia ile report isomwe tu na Vibaka kujulikana na iwe Basi bora usingemaliza Nguvu zao kuteka attention ya Watanzania kuhusu Sakata hilo.

Watanzania tunacho hitaji sasa Kama kweli munauhakika na hao vibaka mutakao wataja, basi wafikishwe mahakamani, ikiwezekana wafilisiwe malizao Zote, wafungwe kifungo kikali iwe Fundisho kwa walio bakia, nitawaona wa Maana sana.

Kama mutaishia Bungeni this is useless.
 
Tusiandikie mate na wino upo, mlikuwa na kiherehere sana, leo imefika, mbivu na mbichi zitajulikana, mna kiherehere cha nini?
 
kama kawaida yako throwing the shooting stars to scare the jinns!
 
Mbona una kiherehere hivi, si mlikuwa mnataka ripoti, jana zimesambazwa rasmi kwa wabunge wote, hujapata tu nakala> na leo inajadiliwa, unataka nini zaidi?
 
Faizafoxy
Hiki si kiherehere, bali tuna back history ya Selikali hii, haijawahi kufanya maamuzi magumu,
 
Kuelekea kusomwa Report ya CAG, mimi ninamtazamo tofauti, inawezekana watu wanaisubiria sana wakifikiria mbali zaidi kwamba hao Vibaka walio chota pesa za ESCRO watazirudisha. Mimi pia nategemea watafikishwa sheriani ili wapate hukumu stahiki na walicho kikwapua.

Labda mimi niseme kitu hapa, kama Zitto Kabwe, Kwafulila, CAG, na kamati nzima wamefanya kazi kubwa sana na mzito. Sasa kama mpango huu utaishia ile report isomwe tu na Vibaka kujulikana na iwe Basi bora usingemaliza Nguvu zao kuteka attention ya Watanzania kuhusu Sakata hilo.

Watanzania tunacho hitaji sasa Kama kweli munauhakika na hao vibaka mutakao wataja, basi wafikishwe mahakamani, ikiwezekana wafilisiwe malizao Zote, wafungwe kifungo kikali iwe Fundisho kwa walio bakia, nitawaona wa Maana sana.

Kama mutaishia Bungeni this is useless.

tusipanic mbivu na mbichi zitajulikana ni suala la masaa tu
 
Kuna watu wakisikia ESCROW yaani hata bafuni anaweza kutoka ili ajibu na ana post zaid ya 100 zikiwa na theme moja!!!!
Tulizana!!!!
 
unasema wachukuliwe hatua zitatoka wapi wakati bunge limesema linamaliza lenyewe mahaka hawahusiki.
 
Mbona una kiherehere hivi, si mlikuwa mnataka ripoti, jana zimesambazwa rasmi kwa wabunge wote, hujapata tu nakala> na leo inajadiliwa, unataka nini zaidi?

bubbling the castles in the air, appeasing and pleasing the demons
 
Suala sio kuwepo kwa ripoti tu...Suala ni kilichopo ndani ya ripoti hiyo....Asije akasimama mtu na kuisoma siku nzima na kuishia kusema hakuna anayeonekana kuwa na makosa!
 
Hayo yote yanawezekana,
Tunaweza kutumia nguvu nyingi sana kuisubiria na ikiwezekana tuwafikiria Vibaya TANESCO mwisho wasiku tukakuta tunachokitegemea ni tafauti na kitakacho somwa. sijui Watanzania munanielewa?
Kuna mapesa yaliibiwa BOT hapa hatujui mustakabali wake zilirudishwa ama. kuna change ya Rader sijajua ilipo rudishwa iliingia kwenye account ya nani?
Kuna ishu ya Richmond vibaka wapo bungeni na wengine wanahamu ya kuwa Maraisi, IPTL na ESCRO naona kama itakuwa hivyo hivyo..

hizi nguvu tusije tukaanza kunyosheana vidole baadaye.
 
Jaman what is the Way forward baada ya kuwafahamu Vibaka wetu?
 
Back
Top Bottom