gadaffi amekaa sana amelewa madaraka anaweka watoto wake,ni dictator..lakini mhh kila mlibya anasoma bure, ana haki ya kupata nyumba,matibabu bure,na ni kiongozi pekee ambaye hakubali raia wake asulubiwe na nchi nyengine.(sio kama sisi) na pia amejenga vyema nchi yake...ametumia vizuri mapesa ya mafuta..(japo inawezekana watoto wake wanayachakachua).pia huyu ni pekee ambaye anasimama dhidi ya ubeberu..sasa kama ataondoka tena kwa shinikizo za aljazeera ambayo inaonesha wazi inamchukia basi utawala utaopatikana bila shaka ni wa kibaraka...na watu wa libya wasitarajie chochote zaidi ya kile wanachokipata bure sasa hivi kuondolewa...tukumbuke hii ni nchi ya kisoshalisti....ndio yaleeee mbona wakati wa nyerere tulika twasoma bure??ghadafi kwa sasa ni simba aliye mkali sana, ni ama zake au zao
hivyo hatakuwa na mchezo kabisa kwa mtu yeyote anayeonekana kuwa kinyume naye
kuwa kidnapped siyo kuuwawa, unanikumbusha barua moja nimeiso katika jukwaa la ligha kuhusu kiingereza.
Yes inawezekana kweli Gadaff amefanyia vizuri nchi na watu wake wakati wa utawala wake. Lakini nani anajua kwamba ajae kama kweli atakuja mwingine atafanya nini? Vyovyote itakavyokuwa watu wanataka mabadiliko wamechoka, wanajua kinachowachosha.gadaffi amekaa sana amelewa madaraka anaweka watoto wake,ni dictator..lakini mhh kila mlibya anasoma bure, ana haki ya kupata nyumba,matibabu bure,na ni kiongozi pekee ambaye hakubali raia wake asulubiwe na nchi nyengine.(sio kama sisi) na pia amejenga vyema nchi yake...ametumia vizuri mapesa ya mafuta..(japo inawezekana watoto wake wanayachakachua).pia huyu ni pekee ambaye anasimama dhidi ya ubeberu..sasa kama ataondoka tena kwa shinikizo za aljazeera ambayo inaonesha wazi inamchukia basi utawala utaopatikana bila shaka ni wa kibaraka...na watu wa libya wasitarajie chochote zaidi ya kile wanachokipata bure sasa hivi kuondolewa...tukumbuke hii ni nchi ya kisoshalisti....ndio yaleeee mbona wakati wa nyerere tulika twasoma bure??
Kwa namana hii bora abakie hata kama gharama yake ni kubwa.