Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,692
- 26,582
Hilo Taifa wako vizuri mpaka watatufanya tujidai Wabongo kuweza kuteleza kwa mwendokasi wa 160km/h hapo mwakani, inshallahTaifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.
Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.
Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.
Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.
Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???
Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.
Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Hili taifa ndilo lilimfanya Muingereza kuwa ndiyo taifa kubwa duniani kuanzia karne ya 18, 19 na 20. Hivi unafahamu hili wewe mzee ???Hilo Taifa wako vizuri mpaka watatufanya tujidai wabongo kuweza kuteleza kwa mwendokasi wa 160km/h hapo mwakani, inshallah
Una maanisha taifa la Iran mkuu?Hili taifa ndilo lilimfanya Muingereza kuwa ndiyo taifa kubwa duniani kuanzia karne ya 18, 19 na 20. Hivi unafahamu hili wewe mzee ???
Halafu hili taifa mpaka leo limegoma kusaini mkataba wa umoja wa mataifa (UNCLOS) unaohusu mipaka ya bahari, unajua kwanini wewe mzee ???
Hapana Mkuu, Iran hajawahi kuwa na nguvu za kumfanya Muingereza atawale dunia.Una maanisha taifa la Iran mkuu?
Siku zote hawa jamaa Waturuki mimi huwa siwaelewi kabisa,hafadhali Iran anayejionyesha waziwazi...Turkey the sleeping Lion.Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.
Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.
Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.
Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.
Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???
Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.
Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Hahaha Mkuu heshima yako, Turkey is the most dangerous state in the Middle-East lakini naona watu wanamuangalia sana Iran.Siku zote hawa jamaa waturuki mimi huwa siwaelewi kabisa,hafadhali Iran anayejionyesha waziwazi...Turkey the sleeping Lion.
Salama mkuu,naona unatokea mara chache na kupotea kama radi,, 😀 😀Hahaha Mkuu heshima yako, Turkey is the most dangerous state in the Middle-East lakini naona watu wanamuangalia sana Iran.
Mkuu kilama upo hapo ???
Salama mkuu,naona unatokea mara chache na kupotea kama radi,, [emoji3] [emoji3]
Hivi mkuu,ile failed coup ni kweli USA & NATO walikuwa behind,au ilikuwa ni janja ya Edogan kuwashughulikia enemies wake?...
Kihistoria inaonesha kuwa kuanguka kwa ottoman empire wayahudi walichangia saana pia haohao wayahudi walichelewesha kuanguka kwa ottoman empireTaifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.
Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.
Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.
Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.
Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???
Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.
Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Wapi hapo inaonyesha kwamba Wayahudi ndiyo walichangia sana ???
Unaamanisha Turkey mkuu? Alipowekewa kikwazo kauchumi kidogo tu akaanza kujamber nakukimbilia Kwa Althan Qatar nakumpigia magoti nakuomba msaada nakupewa 14 billion dollars akapumuaTaifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.
Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.
Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.
Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.
Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???
Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.
Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Umeongea kishabiki sana, ndiyo maana hata nikisema tujadili hoja nafahamu fika kuwa hatuwezi kufika mwafaka.Unaamanisha Turkey mkuu? Alipowekewa kikwazo kauchumi kidogo tu akaanza kujamber nakukimbilia Kwa Althan Qatar nakumpigia magoti nakuomba msaada nakupewa 14 billion dollars akapumua
UturukiUna maanisha taifa la Iran mkuu?
Hawa jamaa historia ya utemi wanayo sana mfano walivyowauwa waarmenia ila siyo mbaya kutuelezea kwa nini waligoma kusaini huo mkataba.Hili taifa ndilo lilimfanya Muingereza kuwa ndiyo taifa kubwa duniani kuanzia karne ya 18, 19 na 20. Hivi unafahamu hili wewe mzee ???
Halafu hili taifa mpaka leo limegoma kusaini mkataba wa umoja wa mataifa (UNCLOS) unaohusu mipaka ya bahari, unajua kwanini wewe mzee ???
Mkuu, kuna hapa naona unaweza ukajikuta unapingana na uzi wako fulani uliowahi kuuleta humu unaoelezea namna wenzetu walivyo invest kwenye education na intelligence kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao.Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.
Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.
Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.
Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.
Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???
Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.
Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Uko sawa kabisa mkuu Israel ni taifa lenye maghuvu sana pale Mashariki ya kati. Lakini siku zote kwenye Political Science huwaga tunasema History is not linear chochote kile kinaweza kutokea kinyume kabisa na mipango yako.Mkuu, kuna hapa naona unaweza ukajikuta unapingana na uzi wako fulani uliowahi kuuleta humu unaoelezea namna wenzetu walivyo invest kwenye education na intelligence kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao.
Hao jamaa siyo kwamba wameisahau hiyo nchi, kilichopo ni swala la muda na level of threat, kama mambo yapo shwari au yana pretend kuwa shwari na wao will do the same, kumbuka hawana tabia ya kumpuuza yeyote hata kama utakua ni dhaifu kiasi gani wao wata assume kuwa wewe ni hatari kwao kuliko yeyote yule.
Intelligence Agencies huwa hazilali, kila wakati zipo machi na zikufanya jitihada za kujipenyeza kila mahala na ndani zaidi.