Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,383
Wadau kuna hii gari ya kampuni ya Renault ya kifaransa. Kuna mtu ana uzoefu nayo? Kuna dogo anataka anunue toka kwa mzungu aliinunja toka ikiwa km ziro, sasa kabla hajainunua ameomba ushauri. Je anunue? Ina km 50,000 na muuzaji ni mwanamke, gari ya 2009