Removing Windows Genuine Notifications

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Using command script
Click start menu, on the search form type cmd then a command prompt will appear, click on it
After that type SLMGR/REARM then press enter.
Restart your computer and its gone
==================================================================
Linux Live boot CD/USB
Boot you computer with the CD/USB then navigate windows folder named system32
Delete or rename a file named WgaTray.exe and WgaTray.dll
Restart and its gone
==================================================================
Or you can download Windows Gunuine Notification Remover
 
wabongo tunapenda wizi sana,

karibia computer zote zinakuja na copy halali ya windows, uliponunua laptop/desktop yako inamaana ulinunua machine pamoja na windows. ila kwa sababu hatujitambui tuna tabia ya kutoa windows halali na kueka windows feki.


mfano wake ni mtu atupe makochi yake halafu aende akaibe makochi mengine aeke kama yale.

cha muhimu ni kujua pc yako ilikuja na windows gani nyingi zinakuwa ni home premium, then eka windows hiyo iliokuja na pc yako halafu after that tafuta key yako genuine. hii utaipata ukibinua laptop kwa chini, au kwenye cd iliokuja na laptop au makarabrasha mengine yaliyokuja na laptop, tumia key yako activate pc yako then enjoy maisha bila tabu.
 

Sio wote wenye uwezo wanapenda kutumia copy ya windows inayokuja na laptop/desktop, kwa mfano mimi personally sipendi Windows 8. Ila naweza kupata laptop yenye specifications nzuri kwa kazi zangu lakini ina Windows 8 na mimi napenda Windows 7 of course nitaipiga chini Windows 8 niweke Windows 7.

Tukiachana na hilo nina uhakika asilimia mia moja Chief-Mkwawa una software nyingi sana kwenye kompyuta yako ambazo si halali, nikimaanisha Adobe, Converters and others. PrintScreen laptop yako nianze kukuhesabia
 
Last edited by a moderator:

sure i own baadhi lakini mbili au tatu ila nyingi ni za bure/ open source

ila kama sehemu unaweza kuavoid ni vizuri uka avoid.

photoshop-gimp
converter-freemake
iso-daemon light
video-vlc
download-dam
android-genymotion
torrent-bitorent
rar/zip-7zip

karibia kila software tunayoiba ina alternative ya bure ambayo inatosha kabisa kwa ajili ya homeuse
 
Last edited by a moderator:

hahaha nadhani hata Anti-Virus yako itakuwa ni open source
 
hahaha nadhani hata Anti-Virus yako itakuwa ni open source

mie nnatumia sophos ya bure pia zipo free version karibia antivirus kibao kuanzia avast. avg na kuendelea. anyways swala la kutumia vya wizi au kutotumia ni jambo pana. hata wazungu wenyewe wanatumia izo pirated ila sio tiketi ya sisi kushabikia vya wizi.

sasa ivi kuna kampeni ya kushika wanaodownload illegal copies kwenye site za torrent kama kat na tpb akyanani wakifika bongo achomoki mtu
 
hahaha nadhani hata Anti-Virus yako itakuwa ni open source

situmii ant virus kabisaa, pia kuna microsoft security essential ni bure kama unatumia windows.

asilimia 90 ya virusi vya hapa bongo vinatembea kupitia flash, external hdd, memorycard na vitu kama hivi. kama utakua unadownload kila kitu mwenyewe na ku avoid vitu hivyo hapo juu huna haja ya kuwa na ant virus.
 
only kama mitandao yote unayopakua ina usalama, jambo ambalo nina shaka nalo.
Windows na security packages ni kama chanda na pete
 
Mi nachomoka boss!
 
Niungane na Chief kuwa wabongo wengi ni masters wa wizi na wengine hata hawajui kama ni vibaka sugu
 
Niungane na Chief kuwa wabongo wengi ni masters wa wizi na wengine hata hawajui kama ni vibaka sugu

Hivi wezi ni sisi tunaopakua mitandaoni au wale wanaotuwekea tupakue mitandaoni?

Mimi ni mmoja wa watu nisiyesita kabisa kuitumia mitandao ipasavyo na pengine ni kutokana na nchi nilizopata kuishi kabla...

Uzuri wa teknolojia ni kuwepo na pande mbili, anayedhani hawezi kuibiwa na kuwepo na yule anayeamini anaweza kukuibia...
 
only kama mitandao yote unayopakua ina usalama, jambo ambalo nina shaka nalo.
Windows na security packages ni kama chanda na pete

siku hizi watengeneza virusi wote wameelimika hawatengenezi kuifanya computer yako ichanganyikiwe bali wanatengeneza malware wanaoingiza hela.

mfano wa threat kubwa ya sasa hivi ni hizi bitcoin mining, ilishawahi ku affect pc yangu mara moja inatumia pc yako kama power house inagenerate hayo mahesabu yao na watu wanakula hela. always pc yangu cpu ilikua 100% full.

apart from huyo malware sjawah kupata kirusi chochote, mwaka na nusu sasa hivi.

na wale virusi wa java adblocker anawahandle vizuri tu.
 

Nina muda sana tangia Windows imekuwa tertiary OS so may be you are right 🙂
 
C6 umeongea point hata hao wazungu wanatumia pirate, hoja yangu ni kwamba mtu asikemee utumiaji wa pirate software wakati yeye anazo halafu anajifanya hana.

Hiyo kampeni nimeshaisikia na nilishafuatwa siku moja wakati niko mwaka wa pili chuo (2004), Fox Ent. walitupa warning kwa kudownload movie iliyokuwa haijaruhusiwa kuonyeshwa South Africa
 
Last edited by a moderator:

Mkuu unaongelea MAC au Windows maana kwa uelewa wangu Sophos ni ya Mac, na usisahau ya kuwa hizo kampuni za anti virus ndio wenye watu wao wanaotengeneza Virus ili the next release inunuliwe besides wote ni wafanya biashara so mimi bado naamini free version is not strong enough there is a catch somewhere
 
Sasa c ndo sayansi yenyewe hiyo pakua then pakia uone mamboyalivyo nawe ufundishe wenzio
 

Inatoa ujumbe wa access denied
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…