MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,086 Jul 30, 2017 #21 mroya said: kitchen party ni sherehe mfundo, send off ni sherehe mwago. Click to expand... Shukrani kwa kusahihisha. Hayo maneno mawili yananichanganya.
mroya said: kitchen party ni sherehe mfundo, send off ni sherehe mwago. Click to expand... Shukrani kwa kusahihisha. Hayo maneno mawili yananichanganya.
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,086 Jul 30, 2017 #22 LUBEDE said: , KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo-hapa naona umekuwa mzee wa rivasi,wahenga wenzangu mtakuwa mmenielewa.. Click to expand... Ahsante kwa kunisahihisha.
LUBEDE said: , KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo-hapa naona umekuwa mzee wa rivasi,wahenga wenzangu mtakuwa mmenielewa.. Click to expand... Ahsante kwa kunisahihisha.
aminiusiamini JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,577 Reaction score 2,227 Jul 30, 2017 #23 pamoja napenda kiswahili naona bado hatuna maneno ya kutosha kwenye baathi ya maneno. Sijaona jitihada za serikali kufanya utafiti lugha yetu na kukuuza.
pamoja napenda kiswahili naona bado hatuna maneno ya kutosha kwenye baathi ya maneno. Sijaona jitihada za serikali kufanya utafiti lugha yetu na kukuuza.
king suleman JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 1,749 Reaction score 1,153 Aug 1, 2017 #24 Trecta Je Linaitwaje Kwa Eng
daneyodry JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 350 Reaction score 227 Aug 4, 2017 #25 Rodwell mTZ said: Hamjambo wana JF wenzangu? Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili? Karibuni Saranga Dar! Click to expand... Kidhibiti cha rimoti Sent using Jamii Forums mobile app
Rodwell mTZ said: Hamjambo wana JF wenzangu? Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili? Karibuni Saranga Dar! Click to expand... Kidhibiti cha rimoti Sent using Jamii Forums mobile app