da! we jamaa umenikumbusha kitambo sana. hii tamthilia ilikuwa inaoneshwa ITV nadhani mwaka 2003/2004 ilikua inatisha sana. niambie jina lake tuwaombe itv wairudie(nyumbani tulikua tunaiita movie ya babu wa pua)
enzi zile kulikuwa na kali nyingine kama best master, nikita nk