Mwezi wa kumi na moja nilisoma kwenye gazeti la the guardian kuwa Rais Magufuli atazindua Ujenzi wa reli ya kisasa kabla ya 31 desemba 2015 ila Leo ni tar 2 January 2016.
Je huo mpango umekwama au umesogezwa mbele.
Michango yenu wadau ni mhimu sana ili tujue hatima ya mpango huu.
Je huo mpango umekwama au umesogezwa mbele.
Michango yenu wadau ni mhimu sana ili tujue hatima ya mpango huu.