what a discovery i made this morning,in real life kumbe ronn ni kakobe! aisee....nasikia waumini wako wanauza magari wanabakia kupanda bajaj,pesa wanakupa wewe unanunua ma vx ya kui enjoy na mabibi zako,ushindwe na ulegee. Asprin kaa mbali na huyu pastor fake (source: kanumba,RIP)
Noted with many thanks Mr. Bishanga Abashaija!.......... Mentor usikae karibu yangu!what a discovery i made this morning,in real life kumbe ronn ni kakobe! aisee....nasikia waumini wako wanauza magari wanabakia kupanda bajaj,pesa wanakupa wewe unanunua ma vx ya kui enjoy na mabibi zako,ushindwe na ulegee. Asprin kaa mbali na huyu pastor fake (source: kanumba,RIP)
what a discovery i made this morning,in real life kumbe ronn ni kakobe! aisee....nasikia waumini wako wanauza magari wanabakia kupanda bajaj,pesa wanakupa wewe unanunua ma vx ya kui enjoy na mabibi zako,ushindwe na ulegee. Asprin kaa mbali na huyu pastor fake (source: kanumba,RIP)
cacico, katika maisha kuna mambo mengi yanatokea! Lakini jambo moja ni hakika, huwezi kunitenganisha na Mungu. Ninaweza nikafurukuta sana but when it comes to things that matter to God or where God has to take his position, heshima inachukua mkondo wake!Ronn M kweli kuchumbia kutamu, lol ghafla mtu anakuwa anaujua wokovu, nimefurahi mwana wa dada yangu kujua una hofu ya MUUMBA WETU! ubarikiwe pia, amen!