blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 129
Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
Yaani its true kabisa. Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu design hiyo. Aisee.. mafanikio yangu yalipotea gafla.. uchumi ukawa wa shida kweli. Cha ajab ni kuwa cku aliyoniacha.. na milango ya pesa ndio ikafunguka.. mafanikio yakarudi tena.Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
Shida sana yani unakuta kila kitu kinagomaKuna wanaume pia ukidate nao kila kitu ni disaster
Mambo hayaendi
Nikweli,....nyota ndiyo kila kitu,...kama haziendani kazi unayo,...kama mshana aliwahi andika hili jamboNi kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki
Ikitokea break up tu yananyookaShida sana yani unakuta kila kitu kinagoma
Sanaaaa tuIkitokea break up tu yananyooka
Si kweli! Hata ukiwa huna mpenzi mambo yote uliyoyataja hapo juu yanaweza kukukuta haijalishi Ke au Me. Imani potofu tu.Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wana mikosi ukiingia nao kwenye relationship mambo yako yote hayaendi sawa,ulikuwa boss kazini mara ghafla cheo kinashuka na wengine wana nyota ukiingia nao kwenye relation mambo yanakaa vizuri cheo plus bonas ya mshahara plus furaha plus cheti chako feki wanakisahau kwenye uhakiki wa vyeti feki