afu ndo zilikuwa zako inavyooneshaa...
we ulikuwa upigi miayo ila ulikuw bingwa wa hii kitu Appliciouz , mwandiko mbayaaaaaaaaaaaaaaateh teh teh!!Paty umenikosea sn jamani yani mie ndo wakupiga miyayo ha ha haaaa!!!
du S.L.P yako kwani bado nzima? hebu tuma tuone mwandiko wako kama ume improve