Rekodi za Pape Sakho huko Ufaransa

Rekodi za Pape Sakho huko Ufaransa

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,549
Reaction score
46,477
Timu Iliomsajili Sakho, QR Metropole Ya Ufaransa Inayoshiriki Ligi Daraja La Pili Nchini Humo Imecheza Michezo 8 Ya Ligi 2, haijashinda Hata Mmoja, Imetoa Sare 2, na Kukung'utwa 6, Ikifunga Magoli 6 na kuchomekwa Magoli 12, Ikiwa na points 2 Pekee, Points Zinazoisaidia Timu ya Pape Sakho Kushika Mkia Katika ligi hiyo.

[emoji654]Katika michezo hiyo 8, Kijana Machachari Pape Sakho Hajaona Hata Dakika 1, Hata Benchi Hajawahi Onja katika michezo hiyo 8 hadi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mna Roho mbaya 😂🤣 kwahyo mmeamua kabsa kuingia chimbo kusaka Takwimu za Mwamba ingali amejificha huko Ligi 2 ambyo hata kwenye visimbuzi mechi hazionyeshwi.
 
Back
Top Bottom