Kazi yake ya kushindwa na kuchemka kila analoanzisha?jamani mwacheni huyu mzee afanye kazi yake
Cococheal?, Lizaboni, Wakudadavua, Motochini, Yehodaya, Stroke, Mitale na Midimu & Co. Ltd mkuje kuna mkorofi hapa, mkuje haraka mambo yanaharibika!Wana jamvi Rekodi haziongopi!
-Aliongoza operesheni ya uuzaji wa Nyumba za serikali - Haikuwa sahihi
- Alivunja sheli mwanza, tukalipa mabilioni
- Alikamata meli ya Samaki , tukalipa mabilioni
- Alinunua kivuko kwa mabilioni, lakini kina mwendo wa kobe
- Alizuia vibali vya Sukari, leo tumerudi kule kule
- Aliondoa pesa za Serikali kwenye mabenki ya biashara na kuyaweka BOT, leo zimeanza kurudishwa polepole kama zamani.
Je katika hili la mchanga, kuna kipya kinachofuata au tutarudi kule kule
Yote kwa yote nasaport nia njema alionayo na Mungu asaidie ili lijibu changamoto za watanzania
Punguza ukal kidogoAnatumia nguvu nyingi kuliko akili
Wana jamvi Rekodi haziongopi!
-Aliongoza operesheni ya uuzaji wa Nyumba za serikali - Haikuwa sahihi
- Alivunja sheli mwanza, tukalipa mabilioni
- Alikamata meli ya Samaki , tukalipa mabilioni
- Alinunua kivuko kwa mabilioni, lakini kina mwendo wa kobe
- Alizuia vibali vya Sukari, leo tumerudi kule kule
- Aliondoa pesa za Serikali kwenye mabenki ya biashara na kuyaweka BOT, leo zimeanza kurudishwa polepole kama zamani.
Je katika hili la mchanga, kuna kipya kinachofuata au tutarudi kule kule
Yote kwa yote nasaport nia njema alionayo na Mungu asaidie ili lijibu changamoto za watanzania
umeumizwa wewe si bureTunasaidia mawazo hii nchi yetu sote