Rekebisha profile yako tcu siku ya mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rekebisha profile yako tcu siku ya mwisho

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Machozi ya Simba, Jun 29, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,110
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  wote mliojiunga tcu rekebishen profile zenu leo ndo siku ya mwisho kuna option mpya ya kurekebisha profile zenu
   
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hawa tcu waongeze muda kwani wanakili server yao iko low na haya mapya waliyoyashauri yanashindikana. watoe muda zaidi ili traffic iendelee kupungua au la waongeze uwezo wao wa kushughulikia hili
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona inazinguaa hapa ina load nusu saa alafu inasema error
   
 4. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  nilifikir ni kwangu 2.. Ths site aint currently available
   
Loading...