Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,433 May 25, 2021 #1 Kuna wanao amini ukifa roho yako inazaliwa upya kutokana na matendo yako. Kuna wanaozaliwa nzi au jongoo kutokana na thamani ya wema wako. Unaweza kuzaliwa katika familia ya kitajiri na kuandaliwa kuwa mtu muhimu kutokana na matendo yako katika maisha. Reincarnation theory inasisitiza kupenda mema ili upate tuzo jema katika maisha yako baada ya kifo.
Kuna wanao amini ukifa roho yako inazaliwa upya kutokana na matendo yako. Kuna wanaozaliwa nzi au jongoo kutokana na thamani ya wema wako. Unaweza kuzaliwa katika familia ya kitajiri na kuandaliwa kuwa mtu muhimu kutokana na matendo yako katika maisha. Reincarnation theory inasisitiza kupenda mema ili upate tuzo jema katika maisha yako baada ya kifo.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,847 May 25, 2021 #2 Fafanua / Tafsiri kwa lugha adhimu ya kiswahili. Sio wote tunaofahamu hiyo lugha ya kikristo.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,574 Reaction score 133,145 May 25, 2021 #3 Wale wazinifu watazaliwa watakuwa K au zile nywele
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,517 May 25, 2021 #4 Uongooooo