mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,798
Ni sawa, ila nashangaa sana kwanini wabongo tunaibua haya masuala wakati kwa nijuavyo sisi ni wakristo na waislamu hatuamini hivyo kabisa.Wa reincarnation wana fact kubwa sana ukiwafuatilia kuliko takataka wakristo, japo nao bado kuna maswali lukuki
Pitia mazoezi ya wanaotoa hayo madaiKama hakuma soul wala reincarnation it means tukifa tumepotea mazima, hii Dhana mbona naona haina balance bado it means life is worthless, still i don't get it
Huhitaji roho/soul kuwa na consciousness. Consciousness, kumbukumbu, mawazo et zinaweza kutoka kwenye ubongo na biochemical processes zinazoendelea kwenye ubongo na mwili tu.Kama unaamini kwamba roho au soul haipo na kila kitu tunachokiita ‘mimi’ kinatokana na ubongo na mwili tu, basi ni nini hasa kinachoendelea ndani yetu kinachotufanya tuwe na consciousness, hisia, kumbukumbu, maamuzi na ile hali ya kujitambua kwamba ‘mimi ni mimi’ na ubongo ukifa, ni nini hasa kinachofanya huyo ‘mimi’ aache kabisa kuwepo ?
Akili imekua kwa kiwango fulani, hakuna udanganyfu wa kudumu kamweNi sawa, ila nashangaa sana kwanini wabongo tunaibua haya masuala wakati kwa nijuavyo sisi ni wakristo na waislamu hatuamini hivyo kabisa.
Allah na Yahweh hawaruhusu mtu kuzaliwa upya.
Naam,Kaka umejibu dhana yangu kwa uhakika mkubwa sana, atae bisha anaweza thibitisha mwenyewe
Yaani unakuta mtu ni mkristo, ila anaamini kwenye reincarnation, mara akuambie Mungu hachomi watu moto, kajitengenezea kadini mseto kake.Akili imekua kwa kiwango fulani, hakuna udanganyfu wa kudumu kamwe
Yah, binafsi mimi mpaka sasa ni seeker wa meditation kwa mda mrefu sna nakuelewa vizuri snaNaam,
Uzuri ni kwamba sijajibu kwa ku dismiss tu.
Nimesoma Buddhism, Hinduism, nikafanya mpaka meditation Buddhist Temple na Rev. Pannasekara ni rafiki yangu.
Kwa hiyo si jambo ambalo nali dismiss tu.
I lived that life.
Huo Ukristo na Uislamu wenyewe umeletewa kwa meli juzi tu hapo.Ni sawa, ila nashangaa sana kwanini wabongo tunaibua haya masuala wakati kwa nijuavyo sisi ni wakristo na waislamu hatuamini hivyo kabisa.
Allah na Yahweh hawaruhusu mtu kuzaliwa upya.
Usiwe brainwashed kiasi hicho don't limit your greatness ur not a f*ckin tree if you are not into it move buddy, kwasababu wewe mkristo haimaanishi umezuiliwa kuwa curious ukweli unakuja kwa obsession ya kujifunza sio kuamini ambacho umekikuta . Totally crapYaani unakuta mtu ni mkristo, ila anaamini kwenye reincarnation, mara akuambie Mungu hachomi watu moto, kajitengenezea kadini mseto kake.
Sure , bwashee, akili yako ipo sharp sana😅, ningependa binti yangu awe kama weweUsiwe brainwashed kiasi hicho don't limit your greatness ur not a f*ckin tree if you are not into it move buddy, kwasababu wewe mkristo haimaanishi umezuiliwa kuwa curious ukweli unakuja kwa obsession ya kujifunza sio kuamini ambacho umekikuta . Totally crap
Na hata kama kweli ingekuwa unavyisema, kwani watu hawaruhusiwi kujiongeza?
"Kujiongeza" na kudadisi ni vizuri mno. Lakini hebu fikiria; Kama ukweli unatokana na kujiongeza na kudadisi, na haupo wazi na thabiti, maana yake si kwamba huo ukweli haujapatikana bado?Usiwe brainwashed kiasi hicho don't limit your greatness ur not a f*ckin tree if you are not into it move buddy, kwasababu wewe mkristo haimaanishi umezuiliwa kuwa curious ukweli unakuja kwa obsession ya kujifunza sio kuamini ambacho umekikuta . Totally crap
Umefanya logical non sequitur fallacy."Kujiongeza" na kudadisi ni vizuri mno. Lakini hebu fikiria; Kama ukweli unatokana na kujiongeza na kudadisi, na haupo wazi na thabiti, maana yake si kwamba huo ukweli haujapatikana bado?
Maana yake si kwamba hakuna dini inaweza kujibu kikamilifu tafakuri za maisha...
Kwanini watu hawawezi kuona hilo?
Si bora kukubali tu kuwa hakuna majibu, tuishi tu? Au ndo asili yetu binadamu kuwa wabishi wabishi?
So you chose to wear your ignorance like a crown just because everyone else was too scared to admit theirs? Cool, boy. Stay right there. Let life expose everything your ego refuses to understand."Kujiongeza" na kudadisi ni vizuri mno. Lakini hebu fikiria; Kama ukweli unatokana na kujiongeza na kudadisi, na haupo wazi na thabiti, maana yake si kwamba huo ukweli haujapatikana bado?
Maana yake si kwamba hakuna dini inaweza kujibu kikamilifu tafakuri za maisha...
Kwanini watu hawawezi kuona hilo?
Si bora kukubali tu kuwa hakuna majibu, tuishi tu? Au ndo asili yetu binadamu kuwa wabishi wabishi?
Kwa kweli. Basi mimi nimechoka tu kutafuta. Itabidi niamshe juhudi.Umefanya logical non sequitur fallacy.
Kwa sababu, inawezekana ukweli haujapatikana bado, lakini tukajua jibu fulani si la ukweli na ni la uongo.
Yani ni hivi, ukiwa mwanamme mwenye miaka 30 leo, usiyemjua mama yako mzazi wa kibaiolojia, unamtafuta ili umjue, halafu ukaletewa binti mchanga mwenye umri wa miezi 6 leo, ukaambiwa huyu ndiye mama yako mzazi aliyekuzaa kibaiolojia, unaweza kujua huyu si mama yako mzazi hibyo, hata kama humjui mama yako mzazi wa kibaiolojia ni nani.
Lazima yakupe ukakasi kwa sababu hiyo roho yenyewe kwanza haipo.Kwa kweli. Basi mimi nimechoka tu kutafuta. Itabidi niamshe juhudi.
Ila masuala ya kiroho yananipa sana ukakasi kuyaamini.
Nayo ni imani kama ukristo na uislamu na uhindu.Yah, binafsi mimi mpaka sasa ni seeker wa meditation