Poleni kwa mihangaiko ya kila siku ndugu zangu! Pamoja na mijadala ya Dola pamoja na korosho lakini maisha lazima yaendelee..
Naomba msaada wa REIMAGE PC REPAIR 2018 WITH LICENSE KEY.
Naamini humu kila mtu ana ujuzi wake hivyo ombi langu litapata ufumbuzi.
Shukhrani sana!