Yieen Senior Member Joined May 8, 2012 Posts 103 Reaction score 27 Apr 10, 2015 #1 Natafuta msichana wa kubadilisha nae mawazo ila awe 29+ kuna mambo nataka kujua kabla sijaingia katika ndoa watoto please dont.
Natafuta msichana wa kubadilisha nae mawazo ila awe 29+ kuna mambo nataka kujua kabla sijaingia katika ndoa watoto please dont.
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Apr 10, 2015 #2 Ukubwa wa umri si uwezo wa mtu kuweza kufikiria na kuona mbali na kutatua kila tatizo,age is just a number. Wapo wenye umri mdogo lakin wana uwezo wa kufikiria ipasavyo.
Ukubwa wa umri si uwezo wa mtu kuweza kufikiria na kuona mbali na kutatua kila tatizo,age is just a number. Wapo wenye umri mdogo lakin wana uwezo wa kufikiria ipasavyo.