bishororo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 254
- 358
Habari wana jf kwanza kabisa ningependa kumshukuru mungu kwa kunipa afya njema mwenzenu nilikuwa na wazo ambalo kwa kiasi flani linaenda vizur na limekaribia kuwa. wazo lenyewe ni kuanzisha rehabilitation ambayo dhumuni lake kubwa ni kutoa vijana wengi katika dimbwi na kujichua(punyeto) wenyewe kwani swala hili limekuwa likiathiri takriban ya asilimia 80 ya vijana wetu wa tz
Japo watu mnalichukulia kawaida lakini punyeto ina athari kubwa kama Ile ya madawa mfano punyeto inaweza kuathiri uwezo wa kufikiri usishangane ndo maana vijana wetu nowdays hawajitambua hawawez kufikiri kwa ufasaha hawawez kuwa na hoja juu ya mambo yanayowahusu pia punyeto linaathiri sana katika ndoa ndoa kuvunjika sababu humaliza nguvu za kiumee na madhara mengine mengi mengii kwahiyo kutokana na Hayo madhara nmeamua kufungua rehabilitation ambayo itakuwa ipo kuwasaidia vijana kimawazo na ushauri juu ya kuachana na punyeto na kutumia njia mbalimbali za kisayansi na saikolijia kutatua ilo tatzo.
Pia rehabilitation itakuwa ipo kwa ajili ya kutokomeza maswala ya ushoga na usagaji ambalo limeshamiri sana ivi Sasa hasa kwa watoto wadog ambao wanaonekana kuwa na tabia izo kwa kuwashauri wazaz namna ya kuishi nao na malezi yao ili wasiingie mwenye hayo mambo pia vijana kwa kuwashauri ili waachane na hayo mamboo......natumai ili wazo kama mkinipa ushirikiano mambo ya ushoga usagaji yatapotea na punyeto kiujumla naombeni ushauri kwa maboresho zaidi asanteni