Rehab ya kutongoza

Hapo bold, yaani hata la kichina!

Wee kweli hinitakii mema..! Kisa cha kuji atifishalaizi?
Kama hutaki wa kupigwa pasi baasi..!
Nitampata atakayenipenda na hili pasi langu..!
 
Wee kweli hinitakii mema..! Kisa cha kuji atifishalaizi?
Kama hutaki wa kupigwa pasi baasi..!
Nitampata atakayenipenda na hili pasi langu..!

Baaasi Basi mama yaishe, naamini kila mtu Mungu kamuumbia wa kwake, nawe unaye wako, hata mimi pia
 
Anza kukana zinaa, baadaye jizatiti katika mbinu hii "TALK FIRST, THINK LATER. THINK LATER HOW TO STRINGLY DEFEND YOUR TALK".
Hii niliipata kwenye moja ya video za YouTube. Ni mbinu rahisi kama unadhamira ya dhati. Kama vip zama YouTube.
 

Yaani mkuu kama mimi, sasa nimewachoka hawa cd hawana mapenzi kabisa;

Juzi juzi mmoja kaniudhi kweli eti kalala kama gogo halafu katikati ya mchezo ndio anasema ongeza hela nikukatie kiuno, mara muda dakika mbili ukizidisha unaongeza hela, yaani ni maudhi sana na yanapunguza stimu, licha ya kwamba wapo baadhi wenye hekima angalau kidogo.
 
wengine utakuta twende tukafilane mkifika kule anakugeuka ukitoa hela anakuwekea bakuri lake yaani kazi kweli kweli
ingekua uwezo wangu wangepewa TIN number walipe kodi.....
 
Endeleza libeneke na vyangudoa vyako.
 

Natamani kukubaliana na wewe lakini nasita kidogo. Nimesikia na kuamani kuwa changu anaweza kudo na watu hadi watatu katika masaa 12, yaani mwanamume mmoja kila baada ya masaa manne. Na ninadhani inawezekana kwa sababu yamatumizi ya kondom kwa kuwa anatoka msafi.

Now. Nataka kusema nini? Msichana au Mwanamke mwenye sifa hii nadhani anastahili jina la Malaya (Note: kuna wanaume malaya pia). Kwa kiingereza tabia hii inaitwa promiscuity. Nadhani mtakumbuka kuna mtu aliwahi kusema utafiti unaonesha Promiscuity miongoni mwa binadamu ni tabia ya kurithi.

Simshauri mtu yeyote kutafuta kumuona mtu mwenye promiscuity. Hii tabia inaweza kuwa ni kilema cha kurithi.
 
wasiwasi wangu ni kwamba hata ukioa cdhani kama unaweza acha hao machangu bce it seems umeshazoea...tabia haina dawa wahenga walisema...!!!!
 

Duuh itabidi aingie mtaani sasa aondoe mshipa wa noma atapata tu mrembo wa kumweka ndani
 
We nae utazani umeombwa kabang..we mwenyewe unaeza ukawa kahaba..nyamaza usitutukanie makahaba wetu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 
duh! Unaruka na machangu wee afu unaanza kutusumbua sasa hivi, baki nao haohao.unataka nan awaoe kama co ww?
 
Duuh itabidi aingie mtaani sasa aondoe mshipa wa noma atapata tu mrembo wa kumweka ndani


Huo mshipa wa noma unaweza ukakuharibia kabisa maisha yako. Si wa kuuendekeza kabisa mwanangu. Changamoto ya kwanza ni kukubali kwamba unao, lakini ukisha kukubali kuwa unao, unatakuwa kukubali kwamba wajibu wako mkubwa ni kuumanage. Ukifanya kosa la kuuruhusu wenyewe ndo utakumanage umekwisha. Ndo unasikia mtu anaambiwa kaacha kutumia kichwa cha juu anatumia kichwa cha chini. Pesa, muda, mawazo vitakuwa mtumwa wa kichwa cha chini badala ya kutumikia kichwa cha juu. Nina mashaka huyu muanzisha uzi keshafika hapo kwenye kutumikia kichwa cha chini badala kutumiki kichwa cha juu.
 
Mtu huyanena yaujazao moyo wake UKITAKA KUFANYA RESEARCH ya wananchi wa nchi fulani wasikilize maongezi/michango yao kwenye thread kama hii. Zamani kuna watu hawakuwa na maendeleo mengine zaidi ya kuzaa saana. Leo hii hakuna mawazo ya maendeleo ni ngono tu hakuna kuzaa maana kondomu nd'o mpango mzima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…