Registration number za nbaa cpa zinatoka lini?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Mpaka sasa watu wa mikoani(Mbeya) hatujapata registration numbers kutoka nbaa ili tujaze fomu za kufanya mitihani, fomu ya mitihani inahitaji registration number yako na mwisho wa kukusanya hii fomu ni machi 15 kwa sasa inavidi tulipie 90,000 kwa somo moja ikifika tar 15 hujasubmit fom ni 135,000 na ikizidi april basi utalipia 180000 kwa somo mona.....Naombeni mrejesho
 
Mpaka sasa watu wa mikoani hatujapata registration numbers kutoka nbaa ili tujaze fomu za kufanya mitihani, fomu ya mitihani inahitaji registration number yako na mwisho wa kukusanya hii fomu ni machi 15 la sivyo unapigwa penalty kwa kulipa kila somo 135000 badala ya 90000 .....Naomba mrejesho
Uliza wenzako usipende kulalamika wakati hujui utaratibu.

Jaza fomu gongewa muhuri tuma registration number watajaza wenyewe na majina ya confrimation yanatoka mwez wa nne mwanzon vitambulisho vitatoka siku chache kabla ya mtihan.

Sasa utaratibu hujui unakimbia kimbia tu JF kulalamika wakati ulikua na uwezo kuuliza wenzako mnaofanya nao review ivi upo kisiwan kwamba unaosoma review uko Alone??.

Basi utaratibu ndo huo kama hujatuma fomu itume tu saaaiv
 
Mkuu mbona unanijibu harshly, navyokuja na swali humu aidha ujue sijapata mtu wa karibu anaejua hili swala, nataka kuhakiki jibu nililopewa au nauliza kwa faida ya wana j.f wote na mara nyingine hua naandika post humu kwa kuwakilisha kikundi fulani ili wajuaji watujuze; usiropoke kwa kuassume kwamba sijafanya kitu fulani ...Anyway asante kwa ushauri ila nakusihi uwe unatoa mchango kwenye post za watu huku ukijiheshimu na kuwaheshimu wao pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom