Users online sasa ni 52118; hii kwa vyovyote itakuwa imesababishwa na website za necta na moe kuzingua sana,hivyo,kwa vile Jf wamehost matokeo hayo,Jf imekuwa kimbilio la wengi kuyatazama matokeo.
Pia,bila shaka,thread za uchambuzi wa matokeo ya form four zimewavuta wengi!
Otherwise, hakuna satisfactory explanation ya increase ya users online, toka average ya 20,000 kwa kawaida hadi 50,000+!!