Regina Lowassa mkono SHAVUNI

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

Mke wa Lowassa sasa anajiuliza kma huu mtaji utalipa ua ni kutumiwa tu. Picha inajieleza vizuri sana kwa wataalam wa kuzisoma, namuona Mbatia, Sumaye, Mbowe, na wengine wakifurahi, lakini mama mkono shavuni.
 
Snawaulumia wananchi jinsi ccm ilivyowabuluza hadi wananchi wanakula vumbi.

swissme
 
Anatafakari aliyokutana nayo kwenye kampeni zake jinsi watanzania walivyo maskini
 
We na tuuzi twako mpuuuuziii..hivi kuuza karanga uliacha?:thumbdown::thumbdown::thumbdown:πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
anzisheni tusi jingine. hilo limedoda na mnajidharaulisha wenyewe.mmechoka kupiga push-up?bado kusimamia vichwa tar 25 oct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…