Dah.......huyu Mama anazidisha kura za LOWASA, hili halina mjadala.....nakumbuka kauli ya Eddy Griffin yule comedian wa Mmarekani alisema kwenye moja ya show zake kuwa alivote kwa Obama sababu Michelle, ndio ninachoona kinakwenda kutokea hapa Bongo.
Mama anatia hamasa ya sisi kumfanya first lady ajae.