Elections 2010 Regia mtemanyenja ananyimwa ubunge rasmi saa nne hii asubuhii mjini ifakara.

Kinachinisikitisha na tena kinanisikitisha sana ni kuona jinsi gani dhana hii ya ubunge inavyochukuliwa kama mradi binafsi wa mheshimiwa fulani badala ya wananchi. Kingine inaonyesha dhahiri ni jinsi gani baadhi ya watu walivyokuwa rahisi kununuliwa kwa fedha, fedha ambayo ni sehemu ya ufisadi. Upatikane ushahidi wa kura zilizopigwa katika vituo vyote na idadi ya zilizopigwa , zilizoharibika na matokeo ili tujue mshindi ni nani. Kisha Atafutwe mchawi ni nani ikithibitika sheria ichukue mkondo wake na aliyehusika na ufisadi huo afukuzwe na Chamani kabisa kwani huko ni kuhujumu Chama, Wanachama na wananchi waliokuchagua pasipo itikadi yoyote.
 
Back
Top Bottom