- Feb 10, 2006
- 4,542
- 16,810
Mkuu,thank you for stating this, jf inameanza kua huru hadi sasa watu wameanza ku-advocate violence na ku-post vitu vya ajabu. Nahisi amani yangu inachezewa sana na power ya cyber.
Mkuu, si kama hakukataa.Si kweli, ina maana hakukataa bali alipokea?
Mkuu,Mimi sijui kama watu walio ipigia kura ccm kama wana akili timamu,yaani napata wasiwasi sana tena mkubwa,kwasababu kwa karne hii mtu yoyote mwenye akili timamu awezi kukubali kuipigia kura ccm.Ccm ni wezi kila kona wanaiba kura wana mdhurumu kila mtu.:doh:
Mimi sijui kama watu walio ipigia kura ccm kama wana akili timamu,yaani napata wasiwasi sana tena mkubwa,kwasababu kwa karne hii mtu yoyote mwenye akili timamu awezi kukubali kuipigia kura ccm.Ccm ni wezi kila kona wanaiba kura wana mdhurumu kila mtu.:doh:
Mkuu,Siamini mkuu unaetetea CCM hapa kama Maxence Melo.
Usiogope kuwa CCM watakushambulia au kuifunga JF, simply tunawapasha ukweli wao! Tunataka viongozi wanaofuatilia performance za subordinates zao, na kuwawajibisha incase wanavurunda, si viongozi wanahakikisha maswahiba zao wanarudi madarakani at any cost huku wananchi wanateketea.
Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. maana mfuko ni huo wa Benki kuu unaosubiri TRA waweke makusanyo
rudi shule, unaandika kama hufikirii vile!Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. maana mfuko ni huo wa Benki kuu unaosubiri TRA waweke makusanyo
Pole si kwa Regia pekee ila kwa waTZ wote wapenda haki na mabadiliko. CCM ni majangili kabisa na style ya kwenda nao ni kama ilivyokuwa Nyamagana na Arusha mjini.Pole dada regia
Hakika wewe lazima utakuwa ni mkazi wa LINDI, RUFIJI au MTWARA
Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. maana mfuko ni huo wa Benki kuu unaosubiri TRA waweke makusanyo
Habari hii SI YA KWELI.
Niliongea na Regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia CCM jimbo.
Wana JF, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya Regia kukosa amani akihofia usalama wake.
Melo!!, Kweli CCM Noma, Wamekuchachafya hadi umeamua kuvunja ukimya.......... kwa sisi tunaozijua Adha za ccm wala hatushangaiMkuu,
Hakuna anayeitetea CCM hapa; hata huyo Nyani Ngabu aliandika kuwa mimi ni CCM ili kufurahisha baraza tu. Kabla hatujayafikia ya Liberia tunatakiwa kujiridhisha kuwa NJIA ZOTE zimeshindikana.
Aidha; CCM haiwezi kuifungia JF, kama unamaanisha CCM hii ya Tanzania. Hilo sisi hatuna shaka nalo; masuala mengine yanahitaji busara tu, ninachosisitiza hapa ni kuangalia athari ya maandishi yetu kwa wenzetu tunaowagusia. Leo Regia, kesho wewe!
kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko ccm. Maana mlikuwa ccm mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni slaa alitoka ccm kama mrema kwa hiari yake? Alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, muulize mzushi shibuda aliisifia sana ccm kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. Chadema chaka la waliofulia mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu sipati picha. Mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate rais wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. Maana mfuko ni huo wa benki kuu unaosubiri tra waweke makusanyo
nakusikitikia sana, ninamashaka sana juu ya uwezo wako wa kufikiri na kiwango cha elimu yako pia, kweli ccm imeoza kuanzia mwenyekiti, katibu mpaka wanachama dah, na sehemu nyingi ambazo ccm imeshinda kwa kishindo wapiga kura wake ni wa aina yako. Haya mjomba songa mbele ila mwisho wenu unakuja.kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko ccm. Maana mlikuwa ccm mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni slaa alitoka ccm kama mrema kwa hiari yake? Alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, muulize mzushi shibuda aliisifia sana ccm kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. Chadema chaka la waliofulia mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu sipati picha. Mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate rais wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. Maana mfuko ni huo wa benki kuu unaosubiri tra waweke makusanyo