Peace and Love kwa kizazi cha kwanza cha reggae akina Burning Spears, Senzo, Lucky Dube, Alpha Blondy, Macka B na wengineo wote.
Naomba nijikite kwenye kizazi cha pili cha reggae, hapa kuna vijana wanafanya vizuri sana nikianza na Chronixx, huyu mtu kwa upande wangu ni new version ya Bob Marley..
Sikiliza hii Tenement yard
Sent using
Jamii Forums mobile app