Regency Hospital

Regency Hospital

malipesa2014

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Regency hospital, whats wrong with number 0222150500? Inapigwa haipokelewi! Which hotline is the best to reach this hospital? Mgonjwa anaweza kupoteza maisha kwa sababu ya uzembe wa operators. Please do the needful - pick up the phone!
 
Hamia Kairuki.,ukitoka kuonana na daktari anakupa namba yake ya simu ya mkononi..Unampigia wakati wowote..
 
Naombeni kujua, kati ya regency na muhimbili ni ipi nzuri Kwa matibabu, nina ndugu yangu mwanamke ameota nyama sehemu za siri anatakiwa afanyiwe operation.
 
...karibia robo tatu ya madaktari bingwa wanao hudumia Hospitali za Dar wanatokea Muhimbili' ni vingumu kuwapata Muhimbili' kwa sababu ya ukiritimba wa taasisi za serikali, ukienda hospitali binafsi ni rahisi kuonana nao kuliko Muhimbili.
 
...karibia robo tatu ya madaktari bingwa wanao hudumia Hospitali za Dar wanatokea Muhimbili' ni vingumu kuwapata Muhimbili' kwa sababu ya ukiritimba wa taasisi za serikali, ukienda hospitali binafsi ni rahisi kuonana nao kuliko Muhimbili.[/QUO

Yani huyu ndugu yangu alilazwa KCMC week 2, hakupata daktari bigwa wa kumhudumia , alikua anahudumiwa na wanaffunzi ambao walishidwa kujua tatizo, sasa tunataka aje Dar ila hatujajua tumpeleke hospital ipi .
 
Naombeni kujua, kati ya regency na muhimbili ni ipi nzuri Kwa matibabu, nina ndugu yangu mwanamke ameota nyama sehemu za siri anatakiwa afanyiwe operation.
Bora uende Muhimbili, kwa kuwa hata hao madaktari wengi wanaotibu unaowaona hapo Regency ukiamini hospitali hiyo ina madaktari bingwa, wengi wao ni waajiriwa wa Muhimbili, ila hapo Regency wanafanya part time job.
 
...karibia robo tatu ya madaktari bingwa wanao hudumia Hospitali za Dar wanatokea Muhimbili' ni vingumu kuwapata Muhimbili' kwa sababu ya ukiritimba wa taasisi za serikali, ukienda hospitali binafsi ni rahisi kuonana nao kuliko Muhimbili.[/QUO

Yani huyu ndugu yangu alilazwa KCMC week 2, hakupata daktari bigwa wa kumhudumia , alikua anahudumiwa na wanaffunzi ambao walishidwa kujua tatizo, sasa tunataka aje Dar ila hatujajua tumpeleke hospital ipi .

...pole sana, kwa Regency wanavifaa na mashine nzuri' na gharama zao ziko!
"kwa tatizo la ndugu yako la kuota nyama sehemu za siri, inategemea ni sehemu gani ya mwili na ukubwa wake'.

"ninakushauri, kwa ushauri sahihi kafungue thread inayojitegemea kule Jukwaa la JF Doctor, ikielezea kiunagaubaga "maelezo ya huyo mgonjwa wako; umri na jinsia" n.k
 
Naombeni kujua, kati ya regency na muhimbili ni ipi nzuri Kwa matibabu, nina ndugu yangu mwanamke ameota nyama sehemu za siri anatakiwa afanyiwe operation.

Mpeleke mapemaa Ocean Road hospital kabla hizi hospital nyingine hazijakupotezea muda.
 
Back
Top Bottom