Referendum for Zanzibar Independence


Mweleze kuwa Quebec walitaka kujitenga kutoka Canada na mwisho wa siku suala hilo likapelekwa kwa wananchi waamue
 
Mueka mada naomba utuwekee na picha ya mtanganyika akiiwakilisha tanganyika huko UN.
 
Mweleze kuwa Quebec walitaka kujitenga kutoka Canada na mwisho wa siku suala hilo likapelekwa kwa wananchi waamue
Rafiki yangu AL SHARPTON, Quebec ni jimbo la Canada. It is not a Nation and all the temper tantrums in the world will not change that legal fact. Njia pekee waliyo nayo kama wanataka kujitenga ni kwa kutumia nguvu, je wanao ubavu? Hiyo ya kura ya maoni eti wajitenge ni sawa tu na kelele za chura kisimani!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wananchi wa Quebec waliokuwa wanataka cessation wangeshinda kwa kura nyingi leo hii kungekuwa na republic of Quebec
 
Last edited by a moderator:
It is not about oil and gas, it is about blacks and whites, Zanzibar is geographically Tanganyika just like Kigoma na Ukerewe
 
Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima.....

Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja

ww sio mpemba, ww ni ha..ra..mu ya kipemba
 

Cc Simiyu Yetu
 
Can you tell me of one single union in history where citizens were consulted before consumating the union? In history?

Eu,switzerland,na imendelea kudumu.
Zile ambazo wananchi hawakuulizwa kama huu wetu union hizo zote zimesambaratika mfano USSR,Yugoslavakia,Checkoslovakia,
 
Eu,switzerland,na imendelea kudumu.
Zile ambazo wananchi hawakuulizwa kama huu wetu union hizo zote zimesambaratika mfano USSR,Yugoslavakia,Checkoslovakia,
EU is recent. If we were uniting with Zanzibar today that WOULD apply. Go back in history.
 
wapewe referendum waamue wanachotaka
 
SUS (Sendeka, Umi na Serukamba) wanaliona hili?
 
Tanzania iwe nchi moja au Zanzibar ipewe mamlaka kamili ...hoja nyinginezo itabaki kuwa porojo tu ...
 
We do not want to be colonised by Tanganyika
 
Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima.....

Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja

Kumbe hakuna Zanzibar??? Kweli wahenga walinena.
 
Msipindishe maudhui ya kura ya maoni maana tumechoka kutawaliwa na Wakavirondo
 
surely, kama wanataka self determination I cant see anything wrong with that.

wapewe referendum to decide their fate
 
Kwa kweli sijui kwanini viongozi wetu wanaendelea kuvumilia kejeli hizi za Zanzibar. Hata leo ningetamani waishie zao kwa kweli. Lakini wawe tayari kukubali pia maamuzi ya Tanganyika tutakapofunga mipaka na kuwataka waondoke mara moja na wafuate taratibu wanazifuata wageni wengine wanapoingia Tanganyika ikiwa ni pamoja na uwekezaji na umiliki wa ardhi na kusoma Tanganyika. Wangalijua hasira za wabara wasingeedelea na mzaha huu. Kwanza kata umeme mpaka deni lote lilipwe. Halafu funga luku walupe kwanza ndo wapewe umeme. Viazi na nbogamboga kwa dola nk
 

hivyo unakubali kwepo hiyo referendum?
 
Kiukweli sababu za kung'ang'ania muungano hazipo.waitishe kula ya maoni wananchi waamue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…