Refa aliyechezesha mechi ya Namungo VS Yanga afungiwe

1. Penati feki.
2. Penati inapigwa huku kukiwa na Wachezaji watano ndani ya Box la kumi na nane na Refa ni wa Sita.

Nadhani Marefa wanaiogopa Yanga.
Hii sio kawaida.
Hii mwenyewe nimeiona nkajua labda ni mabadiliko yamefanyika na FIFA labda.Saido kabla ya kupiga mpira wachezaji kadhaa wa Yanga na Namungo walikuwa ndani ya eneo la penati, mimi nlijua jamaa atasema irudiwe,gafla naona anasema goli na mpira upelekwe kati.Huyu refa kama si shabiki wa Yanga basi atakuwa hakuwa vizuri kichwani
 
Ni kweli kuna wakati marefa huzibeba team

Lakini kwa hili Tff haina sababu ya kuufumbia macho udhaifu huu wa kikatili
 
Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .

Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .

Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .
Kuna baadhi ya mikoa,Kwa maamuzi ya hovyo kama ya Leo,asingetoka Uwanjani bila karandinga la polisi.Ukitaka kuvunja Amani kirahisi,cheza kijinga na hisia za watu. Kwanza sijui anajisikiaje huko aliko na familia yake.TFF tunasubiri maamuzi yenu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ndo nakuuliza iyo ndo penalty yako ya kwanza kuiona isiyo halali? Jibu ilo swali kwanza maana unajitahidi kujificha kwenye kichaka cha kujifanya unaegemea mustakabali wa soka letu wakati matukio mengine kama ayo unakaa kimyaa ndo tunapata wasiwasi na hoja yako unayoibuka nayo leo
Unauliza maswali ya kitoto sana.

Kwa hiyo km ziliwahi kutokea nyingine ambazo si halali basi ni halali kila refa kutoa au kuamua penati atakavyo. Na kwamba iwe ni jambo la kawaida.

Umeanza ushabiki wa mpira leo? Malalamiko kuhusu waamuzi yameanza leo?

Tumia akili kabla ya kupost.
 
Unauliza maswali ya kitoto sana.

Kwa hiyo km ziliwahi kutokea nyingine ambazo si halali basi ni halali kila refa kutoa au kuamua penati atakavyo. Na kwamba iwe ni jambo la kawaida.

Umeanza ushabiki wa mpira leo? Malalamiko kuhusu waamuzi yameanza leo?

Tumia akili kabla ya kupost.
Achana nae kuna watu wana mavi kwenye vichwa vyao. Kwenye mpira hakuna double standard watu tuna hasira na uchungu na soka letu tuna wadogo zetu wanacheza mpira wana ndoto
 
giphy.gif

 
Alichokifanya Fei toto ni kama alikuwa anajua anachokifanya...kama vile alikuwa na miadi na refa....."hii ngoma ngumu...sasa fikeni kwenye kumi na nane mjirushe"
 
Back
Top Bottom