Redondo nae asaini simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redondo nae asaini simba

Discussion in 'Sports' started by Konaball, Aug 6, 2012.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]Kiungo Ramadhan Suleiman Chombo ‘Redondo’ leo amesajiliwa Simba SC, akitokea Azam FC katika mkataba ambao bado haujaeleweka, lakini habari za uhakika kutoka kwa Wekundu hao wa Msimbazi zimeithibitishia BIN ZUBEIRY hivyo. Kiungo huyo aliyejiunga na Azam mwaka 2009, akitokea Simba anakuwa mchezaji wa pili ndani ya kipindi kisichozidi siku tano kutua Msimbazi, akitokea Azam, baada ya Jumatano iliyopita, Mrisho Ngassa pia kusajiliwa na timu hiyo akitokea Chamazil. BIN ZUBEIRY bado inafuatilia kwa kina kujua aina ya mkataba ambao Redoindo wa Keko Magurumbasi amesaini na Simba.[/FONT]
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni habari njema, ila sina uhakika na tabia yake.
   
 3. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kasajiliwa kihuni kama kawaida yao
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tayari Jamaa kwenye Facebook page yao wameshakanusha,huu ni uhuniuhuni usio na sababu yeyote
   
Loading...